Yongcheon Cave mjini Jeju imechaguliwa na Umoja wa Kimataifa wa Sayansi za Kijiolojia kama moja ya maeneo muhimu zaidi ya urithi wa kijiolojia duniani.