Mwanamume mwenye umri kati ya miaka 20 na 29 aliyeripotiwa kupotea na familia yake alipatikana amekufa karibu na pwani ya Kisiwa Jeju mnamo Jumamosi.