Mshambuliaji wa Korea Kusini Hwang Hee-chan anahamia Bundesliga baada ya makubaliano ya mkopo kukamilika saa chache kabla ya mwisho wa uhamisho.